Kamili Vibe - Download All Bongo Audio And Videos

   2021-04-23       37        Entertainment
Rating :
Channel Description : Download All Bongo Audio And Videos
Channel Link : https://kamilivibe.altervista.org
Feeds :
Title : AUDIO | Mesen Selekta Ft. YLB – Unazingua | Download
Description :

AUDIO | Mesen Selekta Ft. YLB – Unazingua | Download

The post AUDIO | Mesen Selekta Ft. YLB – Unazingua | Download appeared first on Kamili Vibe.

Post Date : 06/27/2021
Title : Jamaa Anusurika Kifo Akijisaidia
Description :

JAMAA mmoja amenusurika kifo kwa tundu la sindano baada ya mti kuangukia choo cha rununu (choo kinachohamishika) alimokuwa akijisaidia. Jamaa huyo alikwama ndani ya choo cha rununu siku ya Ijumaa, Aprili 30, 2021 baada ya kuangukiwa na mti. Mwanamume huyo alikuwa anajisaidia kwenye choo hicho kilichoko katika Hifadhi ya Gettysburg nchini Marekani wakati upepo mkali […]

The post Jamaa Anusurika Kifo Akijisaidia appeared first on Kamili Vibe.

Post Date : 05/04/2021
Title : Marekani Yakanusha Madai Ya Iran
Description :

Marekani inakanusha ripoti kwenye televisheni ya serikali ya Irani kwamba Tehran imefikia makubaliano na Washington na Uingereza kuwaachilia huru wafungwa walio na uhusiano na Magharibi ili kupata mabilioni ya dola katika msaada mpya wa kiuchumi. Ripoti kwamba mpango wa kubadilishana wafungwa umefikiwa sio kweli, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani Ned Price […]

The post Marekani Yakanusha Madai Ya Iran appeared first on Kamili Vibe.

Post Date : 05/04/2021
Title : Mazungumzo Ya Mpango Wa Nyuklia Wa Iran Yaahirishwa
Description :

Duru ya tatu ya mazungumzo na Iran juu mpango wake wa nyuklia yaliyokuwa yanafanyika mjini Vienna, Austria yameahirishwa.  Wajumbe wa Ulaya waelezea wasiwasi wao juu ya kujikongoja kwa mazungumzo hayo.  Duru ya tatu ya mazungumzo na Iran juu mpango wake wa nyuklia yaliyokuwa yanafanyika mjini Vienna, Austria yaliahirishwa hapo siku ya Jumamosi.  Lengo la mazungumzo […]

The post Mazungumzo Ya Mpango Wa Nyuklia Wa Iran Yaahirishwa appeared first on Kamili Vibe.

Post Date : 05/04/2021
Title : Kenya Yaondoa Lockdown
Description :

Katika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, siku ya jana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya alitangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona. Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi 2021, la jinsi ya kukabiliana na […]

The post Kenya Yaondoa Lockdown appeared first on Kamili Vibe.

Post Date : 05/04/2021
Title : Uganda Imesitisha Safari Za Ndege Kutoka India Baada Ya Kirusi Cha Corona Cha India Kuripotiwa Nchini Humo
Description :

Uganda imepiga marufuku safari zote za ndege kutoka India kuanzia saa sita usiku tarehe 1 mwezi Mei ili kuzuia wimbi jingine la janga la corona nchini humo . Waziri wa Afya nchini humo Ruth Aceng amesema serikali imechukua hatua mbali mbali ili kuzuia kuongezeka kwa visa vya maambukizi ya virusi hivyo . Hakuna abiria kutoka […]

The post Uganda Imesitisha Safari Za Ndege Kutoka India Baada Ya Kirusi Cha Corona Cha India Kuripotiwa Nchini Humo appeared first on Kamili Vibe.

Post Date : 05/04/2021
Title : Zaidi Ya Watu 44 Wafariki Kwenye Ajali Ya Mkanyagano Israel
Description :

Watu wapatao 44 wamefariki kufuatia mkanyagano uliotokea katika sherehe ya kidini iliyohudhuriwa na makumi kwa maelfu ya waumini wa kiyahudi wa madhehebu ya Othodox huko kaskazini mwa Israel.  Katika tukio hilo lilotokea mapema leo ijumaa,watu wengine kiasi 150 walijeruhiwa.Limetajwa kuwa moja ya tukio kubwa la ajali iliyosababisha umwagikaji damu nchini Israel.  Kwa mujibu wa mashahidi,mkanyagano […]

The post Zaidi Ya Watu 44 Wafariki Kwenye Ajali Ya Mkanyagano Israel appeared first on Kamili Vibe.

Post Date : 05/04/2021
Title : Zimbabwe Yashutumiwa Kukiuka Haki Za Binadamu
Description :

Vikundi vya haki za binadamu nchini Zimbabwe vinasema serikali imekuwa ikikiuka haki za kimsingi za watu tangu kuanza kwa ugonjwa wa COVID-19.  Vikundi hivyo viliwasilisha uchunguzi wao katika mkutano wa njia ya mtandao na maafisa katika mji mkuu Alhamisi. Katika mkutano huo, vikundi vya haki viliwasilisha ripoti wanayoiita Athari za COVID-19 juu ya Haki za […]

The post Zimbabwe Yashutumiwa Kukiuka Haki Za Binadamu appeared first on Kamili Vibe.

Post Date : 05/04/2021
Title : Idadi Ya Vifo Vya Covid India Yapanda Tena Wakati Msaada Wa Kigeni Ukiingia
Description :

Maafa ya virusi vya corona nchini India yameongezeka leo huku idadi yake ya kila siku ya vifo ikipindukia 3,600, huku zaidi ya nchi 40 zikituma msaada wa dharura wa matibabu kuisaidia nchi hiyo kupambana na mgogoro huo unaozidi kuwa mbaya.  Marekani na mataifa kadhaa ya Ulaya yameanza kulegeza vizuizi wiki hii wakati kampeni za utoaji […]

The post Idadi Ya Vifo Vya Covid India Yapanda Tena Wakati Msaada Wa Kigeni Ukiingia appeared first on Kamili Vibe.

Post Date : 05/04/2021
Title : Palestina Yaahirisha Uchaguzi Wa Bunge
Description :

Rais wa mamlaka ya ndani ya Palestina Mahmoud Abbas ametangaza kuwa uchaguzi wa bunge wa Palestina uliopangwa kufanyika mnamo Mei 22 umeahirishwa kwa muda usiojulikana.  Abbas ametoa tangazo hilo baada ya mkutano na wawakilishi wa makundi kadhaa ya wapalestina mjini Ramallah na kusema uchaguzi huo hautafanyika hadi serikali yake itakapopata hakikisho kuwa eneo la Jerusalem Mashariki […]

The post Palestina Yaahirisha Uchaguzi Wa Bunge appeared first on Kamili Vibe.

Post Date : 05/04/2021

100x100
SALUM SAIDI

DOWNLOAD BONGO FLAVA MUSIC MP3 SONGS AND VIDEO..


Random RSS Feeds

Dietary Supplement Manufacturer
Dietary Supplement Manufacturer..
   2020-06-08       50        Manufacturing
Temp Agencies Denver | Scion Staffing Denver
Temp Agencies Denver | Scion Staffing Denver..
   2021-01-12       20        Business
Auto Body Repair Long Island, NY
Auto Body Repair Long Island, NY..
   2020-09-08       51        Services
Slip Gauge Inspection-adityaengg01
Slip Gauge Inspection-adityaengg01..
   2021-05-26       19        Business
bcom honors college in chandigarh
bcom honors college in chandigarh..
   2019-07-18       119        Education
The Judgment Call Podcast
The Judgment Call Podcast..
   2021-04-25       27        Technology
Multi Guging-accurateengg02
Multi Guging-accurateengg02..
   2021-08-02       11        Business
Temperature Controller
Temperature Controller..
   2021-04-29       19        Business
Sports Broadcast Solutions - TheVCC TV
Sports Broadcast Solutions - TheVCC TV..
   2021-11-16       6        Technology
Fameoninsta service available at affordable monthly price packages
Fameoninsta service available at affordable m..
   2021-04-15       14        Business
ABOUT US

Some quick example text to build on the card title and make up the bulk of the card's content Some quick example text to build on the card title and make up the bulk of the card's content Some quick example text to build on the card title and make up the bulk of the card's content.

TOP AUTHORS
Thomas Shaw
thomasshaw9688@gmail.com
Total Posts : 12823
zero promosi
zero1601@gmail.com
Total Posts : 1859